Showing posts with the label HABARI

MAAFISA HABARI WA MIKOA WATAKIWA KUITANGAZA PROGRAMU YA KIZAZI CHENYE USAWA

Na WMJJWM- Dodoma Maafisa Habari wa Mikoa wametakiwa kuitangaza kwa nguvu Programu ya Kizazi Chenye Usawa ili kusaidia utekelezaji wa haki na usawa wa kiuchumi nchini. Wito h…

TANESCO LINDI YAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KWENYE LINDI MINING EXPO 2025

Shirika la umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Lindi limetoa rai kwa wananchi wa Mkoa huo kuacha matumizi ya kuni na mkaa na badala yake watumie vifaa vya umeme vya kisasa katika …

WATUMISHI TUNZENI SIRI ZA UTIMISHI WA UMMA- DKT. JINGU

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt John Jingu amewataka watumishi kuzingatia maadili ya  kazi ikiwa ni pamoja na kutunza siri za…

MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI

Angela Msimbira, PWANI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa kuhak…

MAJALIWA: KAMILISHENI UCHUNGUZI WA WIZI WA VIFAA VYA HOSPTALI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na wiz…

JICHO LA MAHAKAMA KATIKA SIKU 16 ZA UKATILI WA KIJINSIA.

Katika maadhimisho ya siku 16 za Ukatili wa kijinsia ambapo kilele chake kinafikiwa leo Disemba 10, 2024, Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi imetafsiri Ukatili wa kijinsia kama &…

TAKUKURU LINDI: TAARIFA YA ACT WAZALENDO NI MTAJI

Mashujaa FM imezungumza na TAKUKURU kupitia kipindi cha Kuchele ili kujua hatua zilizochukuliwa na mamlaka hiyo kufuatia taarifa ya ACT Wazalendo na Justine Maengo ambaye n…

ACT WAZALENDO LINDI: WAGOMBEA WETU WANATISHIWA MAISHA NA KURUBUNIWA

Chama cha ACT Wazalendo kupitia taarifa yake kwa umma iliyotolewa jana 07 Novemba, 2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram wameeleza kuwa "Kuna mpango wa wasimamizi wa …

WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (CHW’s) WATAJWA KUWA NA UMUHIMU MKUBWA KATIKA UTEKELEZAJI MIPANGO MBALIMBALI YA MASUALA YA AFYA

Baadhi ya Watumishi kutoka Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais TAMISEMI wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma Dkt. Ona Machangu pamo…

WAZIRI MKUU AHIMIZA USIMAMIZI WA MAADILI MEMA KWA JAMII.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema kwa jamii ili kuepuka maovu na kulet…

PM ASHIRIKI MBIO ZA HISANI KUPAMBANA NA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Benki ya NBC zilizoanzia na kuishia katika uwanja wa mpira wa miguu wa Jamhuri jijini Dodom…

KATIMBA: WANAFUNZI NAMNA PEKEE YA KUMLIPA RAIS SAMIA NI KUSOMA KWA BIDII

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba ametoa rai kwa wanafunzi wote nchini kuhakikisha wanasoma kwa bidii  na kufaulu kwa viwango vya juu ili badae…

NSSF YATANGAZA MSAMAHA KWA WAAJIRI WENYE MALIMBIKIZO YA MICHANGO YA WAFANYAKAZI

WAPANGAJI TBA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO ILI KUKWEPA USUMBUFU

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wapangaji wa nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango, ili kukwepa us…

DKT. MAHERA AELEKEZA MABADILIKO KWA WARATIBU WA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA WALIOSHINDWA KUTOA TAKWIMU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughurikia Afya Dkt. Charles Mahera amemuelekeza Mkurugenzi wa huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe kufuatilia na kuwachuk…

Load More That is All