Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wapangaji wa nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango, ili kukwepa usumbufu unaoweza kujitokeza

Ametoa maelekezo hayo Julai 23, 2024 wakati akifungua jengo la Ghorofa 7Makazi ya Watumishi wa Umma la Magomeni Kota, Awamu ya Pili B katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

Amesema jengo hilo limefungwa mfumo wa kisasa wa ‘Payless’ ambapo Mpangaji kama hatalipa kodi anaweza kukutana na adha ya Kitasa cha Kidigitali kujifunga na hivyo kukosa uwezo wakuingia ndani hadi atakapowasiliana na TBA kuhusu malipo





Post a Comment

Previous Post Next Post