Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Benki ya NBC zilizoanzia na kuishia katika uwanja wa mpira wa miguu wa Jamhuri jijini Dodoma

Mheshimiwa Majaliwa ameipongeza benki hiyo kwa kaundaa mbio hizo zenye lengo la kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake

Pia mbio hizo zimelenga kuchangia ujenzi wa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Post a Comment

Previous Post Next Post