Mwanamuziki maarufu na mtumbuizaji wa mtindo wa Rock & Roll Tina Turner aliyeshirikiana na mume wake Ike Turner miaka ya 1960 na 1970 kutoa nyimbo zilizoenziwa kote duniani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83.



Post a Comment

Previous Post Next Post