YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

 
     
 Bokazi ni Wimbo Unaobeba Jina la Album ya Bokazi , Ni Album ya Kwanza toka harakati ya Bokazi E.N.T ianze miaka ya 2007 ikiwa Gheto Mitaa ya River Side Ubungo Dar Es Salaam, Album hii imebeba Nyimbo mchanganyiko sana, kuanzia mwaka 2010 mpaka 2018, Baadhi ya Artist Ndani ni Wabantu, Hard Mad, Zola D, Doriva, Ibrah Nation,Zaiid & P The Mc, Mandojo & Domokaya na  Uyoga Boga .. Album Yote iko Produced na Man DvD pia na Ushirikiano mkubwa kutoka kundi la Uyoga Boga Village. Fuata Link kuangalia List ya Nyimbo zote ... Naachia Wimbo Huu kwako Kwa utambulisho wa Album .Support yako Muhimu Kuchezwa Media, Djz Kitaa na Wadau Mbalimbali. 
 

http://mdundo.com/a/28488 Bokazi Album Vol 01 Link. 30 Songs.   


Artist              Man DvD
Song              B.O.K.A.Z.I
Producer        Man DvD
Studio            Bokazi EnterTaiment (Boyz of kazi)

 Asanteni.

Post a Comment

Previous Post Next Post