YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW



Sasa unaweza kuitazama video ya KWELI EMCEE - NO kwa kufuata link elekezi hapo chini. Video imetengenezwa chini ya usimamizi wa KANDA MSETO LAB. ikiongozwa na na KWELI EMCEE ambaye ndiye mtunzi wa wimbo huo. 
Wimbo umetengenezwa ndani ya studio za BOKAZI ENTERTAINMENT chini yake MAN DVD kama producer.

WATCH VIDEO BY FOLLOWING A LINK BELOW


DON'T FORGET TO GO & SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL

Post a Comment

Previous Post Next Post