YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Habari mdau wangu wa nguvu. Mimi naitwa Mubanda, siku ya leo napenda kushare nawe ngoma yangu mpa iitwayo #TetemeshaMashine, hii ni baada ya wimbo wa #Kipanga ambao kwa juhudi zako uliweza kusonga. Nakuomba sana support yako ngugu yangu.Kwapamoja tutaweza
phone number.
Insta. @Mubandatz.
SASA INAPATIKANA MITANDAONI
Post a Comment