Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, anawasilisha Bungeni hotuba ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Bajeti Kuu kwa mwaka wa Fedha 2025/2026


Serikali imependekeza ukomo wa Bajeti wa Tsh. trilioni 57.04 kwa Mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.4 ikilinganishwa na bajeti ya Tsh. trilioni 50.29 ya Mwaka wa Fedha unaomalizika Juni 30, 2025.

Post a Comment

Previous Post Next Post