Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack anawakaribisha Wadau na Wananchi wote kushiriki  kwenye Maonesho ya Pili ya Madini na Fursa za Uwekezaji yatakayofanyika katika Viwanja vya Madini, Ruangwa kuanzia tarehe 11 - 14 Juni, 2025.

Kauli Mbiu : Madini na Uwekezaji Fursa ya Kiuchumi Lindi, Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025.

Njoo Uone Fursa, Ujifunze na Uwekeze Lindi. Kwa Maoni na Ushauri wasiliana na Timu ya Uratibu kwa namba

0786518484

0754604365

 WOTE MNAKARIBISHWA

Post a Comment

Previous Post Next Post