Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiuingiza mwili Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema, Usharika wa Usangi Kivindu, Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, mkoani Kilimanjaro, leo Mei 13, 2025, kwa ajili ya ibada maalumu ya mazishi ya kiongozi huyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post