Tunaweza tukawa labda hatujui maana ya Brand ama kama tunajua, hatujafahamu kutumia kiungo hicho muhimu kati ya mtoa huduma na wateja wake. Wakati mwingine hata wanaotumia, basi hawafanyi hivyo kwa usahihi na ndio maana ni rahisi biashara zao kupotea sokoni na kusahaulika kabisa wakati mwingine.


Brand ni Utambulisho wa Biashara Yako: Brand si jina tu au nembo – ni hisia, matarajio, na thamani unayotuma kwa wateja wako. Nembo, rangi, na ujumbe wako vinapaswa kuakisi hadhi ya bidhaa zako. Hii ndiyo njia bora ya kujenga utambulisho thabiti ambao unakumbukwa.


Post a Comment

Previous Post Next Post