Watu wengi sana wamekuwa wakitamani kutumia poster kutangaza biashara zao kutokana na sababu mbalimbali zisizowasaidia kama vile;

* Kuiga marafiki
* Kupendezesha kurasa zao
* Ili kwenda na wakati ama kutoonekana mshamba, n.k

Sababu hizi zimekuwa zikiwafanya wateja wa namna hii kuchukulia poa waandaaji wa Poster hizo (designers).

Lakini niweke wazi kwamba, hakuna kazi ngumu kama kulinda chapa (brand) ya mtu kwa designer kama wakati anapoandaa Posters.

Nitakuwa na mfululizo wa posters chache ambazo zitaeleza ama kutoa funzo juu ya matumizi ya Posters na Chapa za Biashara (Business Branding) katika kuimarisha biashara na kukuza mtandao wako.

Yawezekana wote tukajua umuhimu wa Graphics designer na kuthamini kazi yake.




Post a Comment

Previous Post Next Post