Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 19, 2024 ni mgeni rasmi katika kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma.



Akiwa katika mkutano huo, amekabidhiwa vitendea kazi vya baraza hilo ikiwemo Dira ya Maendeleo kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Dk. Barnabas Mtokambali.

Post a Comment

Previous Post Next Post