Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi Wananchi na wapenda demokrasia Nchini kwa kauli aliyoitoa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko la Kashai, mjini Bukoba Julai 15, 2025 ambayo imezua mjadala mtandaoni.  

Akiongea leo July 17,2024 Nape amesema “Kama nilivyosema kwenye tweet yangu huu ni utani sasa nadhani umekuwa mjadala mrefu this time kwasababu tunaelekea kwenye uchaguzi lakini niseme kama Kiongozi, Mtu mzima nadhani nawajibika kuwapa pole na kuomba radhi”  

“Mimi ni Muumini wa uchaguzi huru na wa haki na kuwapa fursa Wapiga kura wao kuchagua Kiongozi wanayemtaka” .... Nape.

TAZAMA VIDO HAPA CHINI:

Post a Comment

Previous Post Next Post