YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Uongozi wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa kuwa umefikia makubaliano ya kuachana na Kocha wake Nasreddine Nabi baada ya Kocha huyo kuomba kutoongeza mkataba mpya.

Post a Comment

Previous Post Next Post