Ephraim Balozi Mafuru, Mtendaji Mkuu wa kituo cha kimataifa cha mikutano Arusha (AICC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ephraim Balozi Mafuru kuwa mtendaji mkuu wa kituo cha kimataifa cha mikutano Arusha (AICC)

Kabla ya uteuzi huo uliotangazwa na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Mafuru alikuwa mkuu wa masuala ya Biashara katika kiwanda cha sukari cha Kilombero, Morogoro na uteuzi huo umeanza tarehe 08 Februari 2023


Post a Comment

Previous Post Next Post