MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Msimamizi wa Mradi kutoka Kampuni ya Tanzania Steel Pipes, Mhandisi Emmanuel Mwambapa wakitia saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.


MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Meneja Mikataba kutoka Kampuni ya Help Desk Engineer, Godfrey Peter wakitia saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni katika hafla iliyofanyika makao makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.


MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Msimamizi wa Mradi kutoka Kampuni ya Tanzania Steel Pipes, Mhandisi Emmanuel Mwambapa wakibadilishana mikataba uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni baada ya kusaini katika hafla iliyofanyika makao makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.


MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.


Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri.


MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza na Menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na Wakandarasi wakati wa hafla ya utiaji saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.




Post a Comment

Previous Post Next Post