YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

Innocent Bashungwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

Na mwandishi wetu

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa wa Tanzania INNOCENT BASHUNGWA amesema Serikali itaendelea kuimarisha hali ya Ulinzi na Usalama Mkoani Mtwara ili kuimarisha Uzalishaji Mali kwa Wananchi wanaoishi Mkoani humo.

Waziri Bashungwa ametoa kauli hiyo leo Januari 6, 2023 alipotembelea Mkoani Mtwara.

Kanali Ahmed Abbas, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali AHMED ABAS ameeleza kuwa licha ya hali ya usalama kuwa shwari bado suala la usalama halitabiriki kutokana na kuwepo kwa uvamizi kwenye mipaka mara kwa mara.

Post a Comment

Previous Post Next Post