Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameridhia Miswada mitatu ya Mabadiliko ya sheria na tayari imeanza kutumika rasmi


Akisoma taarifa hiyo #Bungeni, Spika Dkt. Tulia Ackson, amesema Miswada hiyo ni pamoja na Muswada wa Sheria ya Uwekezaji Tanzania ya 2022, Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali namba Tatu ya Mwaka 2022

Credit: JamiiForums

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post