YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Kikosi hiko kitatingisha maonyesho makubwa ya muziki kule ughaibuni baadhi tu ya maonyesho hayo ni kama yafatanyo na yote yatakuwa siku za jumamosi
03 August 2018 Inter.Afrika Festival Tuebingen,Germany
https://www.youtube.com/watch? v=oTD5ckMYUtM
https://www.youtube.com/watch?
10 August 2018 Rebstock Park,Frankfurt ,Germany
Bendi hiyo inayodumu katika medani kwa miaka 24 sasa ndio bendi pekee ya kiafrika kufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kuwanasa maefu ya wwashabiki kila kona duniani. "Viumbe wa ajabu" Ngoma Africa Band sasa wanatamba na CD yao mpya "Awamu ya Tano Uwanjani" ambayo ipo katika redio mbali mbali hapa nchini.
Usikose kuwasikiliza at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband
Pia ungana nao at www.facebook.com/ ngomaafricaband
Post a Comment