Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 atazindua kamati ya maandalizi ya Michuano ya AFCON 2027. Hafla hiyo inafanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post