Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni 1.95 (sh. bilioni 645.86) zilizotolewa katika kipindi cha miaka mitano.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI


Ametoa shukrani hizo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na Balozi wa Denmark anayemaliza muda wake nchini, Bi. Mette N. Dissing-Spandet kwenye ofisi ndogo ya Magogoni, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post