Itambue mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo).

Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k

1.Kaskazini Pemba-30.9%

2.Kusini Pemba-19.8%

3.Manyara-17.3%

4.Arusha-15.3%

5.Mara-15.3%

6.Tabora-13.6%

7.Simiyu-9.1%

8.Kaskazini Unguja-8.7%

9.Shinyanga-8.3%

10.Singida-7.9%

Post a Comment

Previous Post Next Post