YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Leo tarehe 26 Juni 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemarry Senyamule amekagua ujenzi wa uwanja mpya wa Mashujaa unaojengwa  katika Mji wa Serikali Jijini Dodoma. Kushoto kwa Mkuu wa Mkoa anayetoa maelezo ni Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Bw Meshach Bandawe.


Awamu ya kwanza ya ujenzi wa uwanja huo  unahusisha eneo la uwanja wa gwaride na Mnara wa Mashujaa ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 30 Juni 2023.

Post a Comment

Previous Post Next Post