Kagera Sugar amekubali kichapo cha Goli 5 - 0 dhidi ya Young African kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (NBC Premere League) uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini DSM, Uwanja ambao Yanga wanautumia kama Uwanja wao wa Nyumbani.

Post a Comment

Previous Post Next Post