Meli kubwa kutoka Nchini Australia iliyobeba Watalii 120 kutoka Nchi mbalimbali za Ulaya wamefika wilayani Kilwa Mkoani Lindi siku ya jana tarehe 07 Machi 2023 kutembelea Magofu katika mji wa kihistoria Kilwa Kisiwani na kujionea urithi wa Dunia. 







Baadhi ya viongozi wa serikali waliyoshiliki kupokea wageni hao ni pamoja na mkuu wa wilaya ya kilwa Christopher Ngubyagai ambaye amewakaribisha wageni hao na kueleza kuwa ujio wa watalii hao ni matunda yatokanayo na filamu ya (The Royal Tour) ilichezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Post a Comment

Previous Post Next Post