Mkali wa Bongo Flavour kutoka Lindi "G CLASSIC" ametangaza kuja na EP  itakayokuwa na mikwaju mitano mikali kutoka kwa waandaaji wanaofanya vizuri Mkoani Lindi ambao ni CRUSH, MOX na INVISIBLE. 

Katika EP hiyo ambayo imepangwa kuzinduliwa siku ya tarehe 18, Februari 2023 katika viwanja vya SEA VIEW HOTEL, amewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Mox, Dico the Dos, Qugu na Brunner. Support Your Boy

Post a Comment

Previous Post Next Post