YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Image result for ilala zone college bash 

Kweli Emcee akifanya mahojiano na Omary Zongo ambaye ni mmoja kati ya waandaaji wa tamasha la muziki lililohusisha kusaka vipaji. Tamasha hilo lilifahamika kwa jina la ILALA ZONE COLLEGE BASH likipewa kifua na watangazaji wa Mlimani Radio. Na huu ni muendelezo wa tukio hilo.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI | WATCH VIDEO BELOW 

Post a Comment

Previous Post Next Post