YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW



Sasa unaweza kupata wimbo mpya kutoka kwake TDX Wangex akiwashirikisha MAC AMUA & MAU KOLIMBA ambaye ameamua kuvunja ukimya baada ya muda mrefu kutosikika masikioni mwa mashabiki wake. Wimbo huo unasemekana kuwa ni utangulizi wa Nyimbo zisizopungua kumi na tano (15) ambazo kwa pamoja zinaunda ALBUM yake mpya inayotarajiwa kuwa released hivi karibuni. Habari zote utazipata hapa hapa.

Na hii itakuwa Album yake ya kwanza baada ya ile iliyotambulika kama JINA LANGU HALIPOTEI iliyofanywa chini ya KANDA MSETO na KIZAZI JEURI CREW. Kaa mkao wa kutafuna.

Fuata link hapa chini kusikiliza wimbo huo mpya:


Post a Comment

Previous Post Next Post