YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Struggling ni wimbo wa 3 kuachia kwa msanii Kenny Mavyombo akiwakilisha kundi la Doriva, baada ya My Love aliyomshirikisha P The Mc ,Gwainyegela na sasa STRUGGLING akimshirikisha mwanadada Nician. Huu ni wimbo wenu Mashabiki na Media zote Africa Mashariki na Kati kutoa support ya Kuucheza wimbo huu ili kuinua Vipaji vipya katika Sanaa. Asanteni Amani Kwenu..

ttp://mdundo.com/song/1024744    .


Studio          Bokazi Entertainmet (Boyz of Kazi) . BOKAZI.BLOGSPOT.COM
Producer     Man DvD

Post a Comment

Previous Post Next Post