YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Kaa tayari kwa Wimbo mpya kutoka kwa Vocalist in Tz Kenny Mavyombo.., Kabaridi ka Usiku ni Bonus Track kabla ya kuwadondoshea kazi mpya ,, Support yako Muhimu sana Ndugu Mdau ,djz Media na Shabiki sasa unaweza kuicheza Radio na Mahali Popote pale. http://mdundo.com/song/101298 ukiigia katika link hii utakutana na Play list ya baadhi za Kazi za Mavyombo ,pia support yako kusambaza link vyovyote uwezavyo. Respect Kwenu mbarikiwe Wandugu


CLICK THE DOWNLOAD BUTTON TO GET IT IN YOUR DEVICE
Image result for DOWNLOAD BUTTON

Artist          : Kenny Mavyombo

Song          : Kabaridi Ka Usiku

Studio        : Bokazi Entertainment (Boyz of Kazi) 

Beat Cover Mixing na Mastering by Man DvD


0657 799 950 Kenny Mavyombo
0713 040 615 Man DvD

Post a Comment

Previous Post Next Post