YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Ni Mwanadada Pekee anayewakilisha Wazawa Nation Classic , na huu ni wimbo Mpya pia ni wa Kwanza kuachia katika Tasnia ya Muziki, Tunaomba support yako kwa Msanii huyu Mchanga Kabisa anayeanza Game kwa Kishindo,,, Wadau Media na Mtaa kwa Mtaa, Kazi ipo Tayari kwa Ajili ya Masikio Huru.
Artist Beti Hizzo ft Sir Elly
Song Viulizo
Studio Bokazi EnterTainment
Producer Man DvD
0714 330825
0713 040615
Post a Comment