YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Hata asiye na upeo wa kusikiliza na kusikia, basi hii picha hapo juu anaitambua. Ni msanii mwenye wasifu tofauti na hata aliye nami katika hii habari si lazima nikufunulie yeye ni nani. GODZILLA, nitamwita "Bwana Kiingereza Mswahili".
Kazi na sanaa yake inastahili Heshima kwa kiwango chake, isizidi wala kumpungua. Club Banger himself, am not sure for now. Ahahahaaaaa bila Kiswangilish hutakuwa unamzungumzia.
Vyombo vya Habari na namna alivyokuwa akionekana humo, nahisi naelewa tofauti uelekeo wake leo. Mimi ni nani hata niseme hilo. Damn! Cut it Down. Kwa wale waliomuona leo na siku chache zilizopita na kumsikia pamoja na kumsikiliza, tukiacha mali, mishemishe za hapa na pale, Midosho na hata tunashinda wapi na tunatumia nini,
Godzilla tumemjua kwenye mziki na kama mashabiki tunaishia hapo labda tuzungumze mengine.
Swali: KUHUSU GODZILLA, TUNAPANDA AMA TUNASHUKA?
Tupia Comment yako hapa Chini..!
Post a Comment