YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

  
Imekuwa Nafasi Nyingine tena kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa Jina la Gwainyegela style ya Kapuka..  Yenye Lugha Tano. Kihehe, Kiswahili, Kiingereza, kiganda & Kiludughada, Kenny Mavyombo akiwakilisha kundi zima la Doriva ,, Support toka kwenu Wadau pia sasa ipo tayari kupigwa Media.. 


Artist          :  Kenny Mavyombo
Song         :   Gwainyegela
Studio        :  Bokazi Entertainment
Producer    : Man DvD

Kenny Mavyombo    0657 799 950
Man DvD                  0713 040615

Post a Comment

Previous Post Next Post