YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
MANENO YA MAN DVD:
Support zenu ndo kila kitu katika kusongesha gurudumu la muziki wetu hasa wa Hip Hop. Usipotee, Harakati Idumu Daima Milele.
Verse ya kwanza kasimama Algebra Mwanahisabati, Hood C The Captain & Verse ya 03, Shashow Bammy. Ni Kundi linaloundwa na Artist watatu kazi zao mara zote zinafanyika Bokazi E.N.T Prod Man DvD.
Post a Comment