SHULE ZA AWALI ZASHAURIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA MTAKUWWA KUKUZA MALEZI CHANYA KWA WATOTO (MTAKUWWA – Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto)
Taasisi inayoshughulikia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu mkoani Ruvuma na nchini kwa ujumla, Ruvuma Orphanage Association (ROA), imezishauri shule za awali…