Wimbo huu - “Simuoni” katika maadhi ya R&B na Bongo Fleva unazungumzia hisia za upweke, maumivu ya kupoteza mpenzi na machungu ya kukosa mawasiliano. 

Harmonize, anayefahamika kwa sauti yake ya kipekee na uwezo mkubwa wa kuwasilisha hisia, ameungana na A.Y, mkongwe wa muziki wa HipHop ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, wamepata sababu ya kukutana na kuangusha dude kwa kishindo.

DOWNLOAD KWA KUBINYA KITUFE HAPA CHINI:



Post a Comment

Previous Post Next Post