Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Lindi imesisitiza umuhimu wa wadau mbalimbali nchini kushiriki katika mapambanao dhidi ya Rushwa kuelekea kipindi cha uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.

Justine Maingu ambaye ni Afisa mchunguzi mkuu na mkuu wa dawati la uelimishaji Umma TAKUKURU - Lindi akiwa katika kipindi cha Redio Mashujaa FM amesema, vyama vya siasa kama sehemu ya wadau wakuu wa Uchaguzi vinapaswa kutenda haki katika kupatikana kwa kiongozi sahihi kwa jamii na wana wajibu kuhakikisha kuwa uchaguzi unakuwa wa haki na usawa kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa wananchi.

Post a Comment

Previous Post Next Post