Wakazi wa Lindi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje - Ruangwa wakiwa katika harakati za kuvuka mto kufuatia athari zilizotokana na mvua za El- Nino.

TANROADS imeweka kambi katika eneo hilo ili kurejesha mawasiliano ya barabara hiyo.



Post a Comment

Previous Post Next Post