YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 18, 2023 ameshuhudia uzinduzi wa jezi ya Timu ya mpira wa miguu ya Namungo ya msimu wa 2023/2024. Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Lindi.












Post a Comment

Previous Post Next Post