YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu.  Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu mtu yeyeyote kusafirisha mazao nnje ya nchi ikiwa hajasajili kampuni, hana Tin namba, Taarifa za ulipaji kodi pamoja na leseni ya biashara husika.

Post a Comment

Previous Post Next Post