YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Msanii wa muziki wa miondoko ya RAP nchini Tanzania 'Webiro Wakazi Wassira' maarufu kama WAKAZI ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa 'project' yake mpya itakuwa na radha rasmi kwa ajili ya akina dada ambao mara zote wamekuwa wakimhitaji msanii huyo kuziimba. 

"BEBERU itakuwa na special treats for the ladies. Kina dada, mnanisemaga sana kuwa naimba ngumu mno. Kilio chenu nimekisikia. 😊  But in the meantime, ladies, who wants to be “my valentine wangu” ?! it’s the season ❤️ 🌹 😍" Wakazi ameandika

Post a Comment

Previous Post Next Post