YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW

Naaam ndugu zangu, Huu ni Mfululizo wa kuachia vibao vyangu baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia ngoma mpya , baada ya kuwapa vionjo Nawaletea wimbo mpya unaitwa ...Kiumbe .. Nikimshirikisha David Migoko... wimbo umetayarishwa na Producer Man DvD, Studio Bokazi Entertainment. (Boyz of Kazi)... Wimbo upo released sasa ruksa kuchezwa katika Media (Radio) na Social Media kwa kushare na marafiki Popote pale  Support Yenu Muhimu Asanteni. 

SIKILIZA WIMBO KWA KUFUATA LINK HAPA CHINI:

Post a Comment

Previous Post Next Post