YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Kunako tarehe 27 mwezi huu (July, 2019) kutafanyika tamasha la MUZIKI litakalohusisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali kutoka katika Wilaya ya Ilala. Ni pamoja na DSJ, TSJ, AMAZON COLLEGE, DATA STAR pamoja na ushiriki mzuri kutoka SJMC.
Kama hiyo haitoshi, tamasha hilo litahusisha wasanii mbalimbali kutoka katika mitaa ya jiji la DAR ES SALAAM, maana tunaamini vipaji viko mtaani.
Pia kutakuwa na surprise za kutosha STAGE na kwingineko katika tamasha hilo. SPECIAL APPEARANCE kutoka kwake BABY MADAHA, BENSON mzee wa HAUZIMI, BEKA TITLE kutoka Kinondoni na wengine kibao wakionyesha upendo wao.
Shiriki sasa na utaweza kujishindia mtonyo ama PESA taslimu mkononi kwako, PROMOTION za kutosha, CONNECTION za kuziba nyufa, KUREKODI AUDIO na kufanyiwa VIDEO ya mziki wako.
FORM za washiriki zinapatikana kupitia namba +255 788 777 658
Hii itafanyika tarehe 27 JULY 2019 TUPENDANE BAR NYUMA YA ROZANA maeneo ya BUGURUNI jijini DAR ES SALAAM
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI:
Post a Comment