YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Akieleza sababu za yeye kuja nchini Tanzania, ametoa sababu tatu za msingi kwanini leo yuko CHATO katika ziara binafsi. Sababu hizo ni pamoja na Undugu wa jamii zinazozunguka maziwa makuu na kuwa Tanzania ni nchi iliyochangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta maendeleo na Uhuru wa nchi ya Uganda na nchi zinginezo barani Africa.
Hiyo ikawa sababu ya kuita Tanzania MECCA mahala anapokuja kufanya HIJA kama watu wa dini ya Kiislamu wanavyokwenda huko kwa ajili ya kutimiza misingi ya dini husika.
Pia amebainisha shida ama changamoto tatu ambazo nchi hizi rafiki zinapambana nazo. Changamoto hizo ni Maendeleo, Utajiri na Kazi.
TAZAMA HAPA CHINI VIDEO LIVE
Post a Comment