YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW



Ni siku kama ya leo Tar 28 july 2017 alipotangulia mbele za haki ndugu yetu Msanii kutoka Label ya Bokazi JACO. Na pia ni tarehe kama ya leo 28 July tunakumbuka kuzaliwa Kwake.. Tunamuenzi kwa kufanya kile alichotuachia katika Sanaa yake.. Ni wimbo tuliokata moja ya chorus aliyoifanya kitambo sana na kushirikisha watu wengi katika Verses. ..Tafadhali share nasi kwa Marafiki, Audio sasa ipo released Tunaomba Support Tv, Radio na Social Media.. Produced by Man Dvd. Video by HB FILMZ,

Artist : Jaco ft  Anu G, King Wizzy, Bachela Mbili, The Rap Addict, Kichwa, Azma,  Mubanda & Canty Didas & Nician

Song : Milele
Studio : Bokazi Entertainment (Boyz of Kazi)
Producer : Man DvD

0719 421 995
0713 040 615
0746 373 111

Post a Comment

Previous Post Next Post