YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW


Ramsoh Latinho Mnyaturu kutoka Mkoani Singida ,Kwa sasa yupo nchini Kenya katika kusogeza mbele harakati za muziki wake, Ameshawahi kurelease baadhi ya kazi zake katika Media Mbali mbali, wimbo  kama vile "Leta Pesa" 


..Na hii Speed Kali ni moja ya Mwendelezo wa kuachia Vibao vyake kimoja baada ya Kingine....  Wimbo mpya kabisa kutoka Studio Za Bokazi EnterTainment (Boyz of Kazi) chini ya Producer man DvD... Natarajia Support za kutosha kutoka kwa Wadau, Djz ,Presenters, Websites & Bloggers katika kuwekeka link sehemu mbali mbali.

TEMBELEA LINK KUPAKUA

Post a Comment

Previous Post Next Post