YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Baada ya Muda Mrefu bila kutoa Wimbo, Huu ndio ujio mpya wa Lunduno na Singo mpya `Hakuna kilichoharibika'. , Lunduno Yenye Vichwa Vitatu Shashow a.k.a Bammy, Hood C na Algebra wakimshirikisha artist kutoka kundi la Doriva `Maplace a.k.a Dwenga' akichombeza kuimba kwa mbali katika chorus. Wimbo sasa upo released tunaomba support toka kwenu Wadau Media na Mtaa kwa Mtaa.
Artist Lunduno
Song Hakuna Kilichoharibika
Studio Bokazi Entertainment (Boyz of Kazi)
Producer Man DvD...
0714 730 722
0718 689 750
0713 040 615
Post a Comment