YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Kweli Emcee katika dakika kumi (10) za maangamizi ndani ya kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio. Kwa mujibu wa kilichofanyika Kweli Emcee alidai anahitaji nafasi ya pili ili aweze kufanya vizuri zaidi.
Pamoja na hayo comment yako itadhihirisha kile kilichoongelewa.
Wengi wao kati ya mashabiki na waliomsikiliza, wanadai hakukuwa na ushirikiani kati ya DJ na MSANII kwani wewe unasemaje?
KUMBUKA KUACHA MAONI YAKO
WATCH VIDEO BELOW
Post a Comment