YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Ni video inayoonyesha matukio yote kabla na wakati wa kushoot video na
mwendelezo wa stori inayopatikana katika wimbo wa msanii wa mziki wa
kipya katika mahadhi ya Hip Hop maarufu kama Shashow Bammy wa Lunduno akiwashirikisha Canty Didas pamoja na MAN DVD ambaye ndiye mtengenezaji wa kazi hiyo.
FUATA LINK HAPA CHINI KUITAZAMA VIDEO:
Post a Comment